Flatnews

Wakenya Nao Wanadeki na Kusafisha Barabara Ujio wa Obama

Nimeona kwenye taarifa zao za Habari Barabara zinadekiwa, vibanda vinaondolewa omba omba wa mitaani nao marufuku kuonekani M...


Nimeona kwenye taarifa zao za Habari Barabara zinadekiwa, vibanda vinaondolewa omba omba wa mitaani nao marufuku kuonekani Mjini.

Nilidhani ni Sisi.

Ila jamaa zetu wanamuabudu sana Obama, rejea wanavyomzungumzia Ujio wake.

Related

NEWS 4558913003082980391

Post a Comment

emo-but-icon

item