Ugiriki yakubali masharti ya wadeni
Waziri Mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras Wabunge wa Ugriki wamepiga kura kuunga mkono masharti mapya ...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/07/ugiriki-yakubali-masharti-ya-wadeni.html
Waziri Mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras
Wabunge
 wa Ugriki wamepiga kura kuunga mkono masharti mapya yaliyowekwa na 
wadeni wa taifa hilo lililo katika hatari ya kufilisika.
Hatua hiyo inatoa nafasi kuanzishwa kwa mashauriano mapya kati ya taifa hilo na mataifa yanayotoa msaada wa kuokoa uchumi kuanza.
Waziri Mkuu, Alexis Tsipras, alishinda kura hiyo ya Bunge baada ya kura ya kuunga mkono kupigwa na vyama vingine vya upinzani..
