HII NDIO FAIDA YA KUWA NA WAKONGWE KAMA ANDREA PIRLO…
Andrea Pirlo akisimamia mazoezi ya watoto wa New York Andrea Pirlo yupo tayari kuanza maisha mapya katika klabu ya New York City ba...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/07/hii-ndio-faida-ya-kuwa-na-wakongwe-kama.html

Andrea Pirlo akisimamia mazoezi ya watoto wa New York
Andrea
Pirlo yupo tayari kuanza maisha mapya katika klabu ya New York City
baada ya kukamilisha usajili wake kutokea klabu ya Juventus.
Kiungo huyo mwenye miaka 37 aliongea na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza jana.
Fundi
huyo wa zamani wa Juve na AC Milan alifanya mazoezi jana, huku
akiwasimamia wachezaji vijana na kuwafundisha namba ya kupiga mipira
iliyokufa.

Pirlo akiwapungia mkono watoto wanaocheza soka New York City

Pirlo anaungana na gwiji wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard kuunda safu ya kiungo
