CRISTIANO RONALDO HAPENDI HATA KUZIDIWA UREFU, ANGALIA UJANJA ANAOTUMIA WAKATI WA KUPIGA PICHA YA KIKOSI
Inafahamika kwamba straika wa Real Madrid na Ureno, Cristiano Ronaldo ni mshindani na hapendi kuzidiwa katika maisha yake ya soka.
http://samchardtz.blogspot.com/2015/07/cristiano-ronaldo-hapendi-hata-kuzidiwa.html
Inafahamika kwamba straika wa
Real Madrid na Ureno, Cristiano Ronaldo ni mshindani na hapendi kuzidiwa
katika maisha yake ya soka.
Sasa stori ni kwamba Ronaldo hapendi kabisa kata kuzidiwa urefu na wenzake wanapopiga picha ya pamoja uwanjani.
Kutokana na hali hiyo, Ronaldo
amekuwa akinyenyemea na kusimamia vidole ili awe mrefu au alingane na
wachezaji kama Sergio Ramos, Pepe na Tony Kroos ambao hukaa mstari wa
kusimama kutokana na vimo vyao.
Mbaya zaidi, Ronaldo amekuwa akimtumia Karim Benzema kama ngazi yake linapofikia suala la kufanya hivyo.
Tazama kwa makini picha zote hapo chini:




