MOVIE MPYA: F.R.E.N.D.z ya Irene Paul Kuingia Sokoni Mwezi Huu
Filamu mpya ya mrembo na mwigizaji wa filamu Irene Paul inayokwenda kwa jina la F.R.E.N.D.z itaingia sokoni mwishon...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/03/movie-mpya-frendz-ya-irene-paul-kuingia.html

Yusuph Mlela na Kennedy Victor. Filamu imetengenezwa chini ya Kalunde & Mama Ntilie na kuletwa kawako na Steps Entertainments.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Irene ameahidi kukutana na mashabiki wake zaidi ya 50 watakao itazama filamu na kujibu maswali atakayouliza.
“Tarehe 5 mwezi huu, can't thank God enough AT LAST.. sasa wale ambao walikuwa wanauliza inatoka lini,halafu narudia tena kupitia movie hii nitakutana na mashabiki wangu hamsini uso kwa uso(mahali ni suprise) kigezo cha kuchaguliwa ni kujibu maswali nitakayokuwa nauliza kuhusu movie hii wiki moja baada ya kutoka so pata nakala yako maana ndo kiingilio,kubwa zaidi ni ushauri wako wewe nitakaekutana nae ni kuhusu ushauri wa moja kwa moja kwangu mimi katika kuboresha movie tufanyazo (maana itakuwa weekend moja na tutakutana wote 50 kwa pamoja) at the same time mashabiki watapata fursa ya kukaa,kula,na kubadilishana mawazo na wasanii wenzangu wengine watano(hapa mtachagua)”.Irene aliandika.
Tuisubiri na tuwaunge mkono kwa kununua kazi ORIJINO za wasanii wetu.