Kimenuka Azam Wamtimua Kocha Baada ya Kula Kichapo Kutoka kwa Wasudan
Siku mbili baada ya timu ya azam kuondolewa kwenye michuano ya kimataifa ya Klabu bingwa Afrika kwa kufungwa magoli matatu na El Mele...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/03/kimenuka-azam-wamtimua-kocha-baada-ya.html

Siku
mbili baada ya timu ya azam kuondolewa kwenye michuano ya kimataifa ya
Klabu bingwa Afrika kwa kufungwa magoli matatu na El Meleck ya sudan
wamemtimua kocha wao leo hii, wameandika hivi kwenye page yao ya
faceboook
Uongozi wa Azam FC unatangaza kuachana na kocha wake mkuu Joseph Omog baada ya kuwa naye kwa miezi 14.
Omog aliyeipa Azam FC ubingwa wa kwanza msimu uliopita ameondoka pamoja na msaidiI wake Ibrahim Shikanda.
Kwa sasa timu itakuwa chini ya George Best Nsimbe