ANGALIA VITU 5 UNAVYOHITAJI UNAPOENDA KUCHAGUA GAUNI LAKO LA HARUSI.
Mabiharusi wengi huchanganyikiwa wanapoenda kuchagua gauni la harusi, ununuzi wa nguo hizi zinaweza kuja na hisia tofauti; balaa au fur...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/02/angalia-vitu-5-unavyohitaji-unapoenda.html
Mabiharusi wengi huchanganyikiwa wanapoenda kuchagua gauni la
harusi, ununuzi wa nguo hizi zinaweza kuja na hisia tofauti; balaa au
furaha.
- Brazia ambayo haina mikanda(strapless bra).
- Kiatu kirefu. Urefu sawa na kiatu utakacho vaa siku ya harusi yako(inchi moja na nusu au mbili ni comfortable). Pia usisahau kuchagua kiatu kitakacho endana na style ya gauni lako.
- Seti nywele zako mtindo utakao seti siku ya harusi.
- Unaweza ukabeba picha za gauni unazozozipenda.
- Unaweza pia ukabeba picha au description ya reception yako.
CREDIT:www.shereheyetu.com




