MSANII WA BONGO FLAVER MENINA:SIJATOA MIMBA
Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick ameifungukia ishu ya kuchoropoa mimba ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kusema haj...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/msanii-wa-bongo-flaver-meninasijatoa.html
Mwanamuziki
Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick ameifungukia ishu ya kuchoropoa
mimba ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kusema hajawahi kubeba mimba
ya staa huyo na wala katika maisha yake hajawahi kufanya kitendo hicho.
“Jamani
mimi ni mdogo, kwanza kwa nini watu wanapenda kunibebesha vitu vikubwa,
mimi sijawahi kubeba wala kuchoropoa mimba katika maisha yangu,”
alisema msichana huyo.
Meninah Atick akipozi.
Meninah
alienda mbele zaidi na kusema maneno hayo yanaweza kuwapandisha hasira
wapenzi wa Diamond na kumjengea nao chuki, wakati ukweli ni kwamba
hajawahi kutoka na msanii huyo mwenye historia ya kutoka na wasichana
wengi.