Flatnews

TAZAMA PICHA DIAMOND PLATINUMZ AFUNIKA MBAYA USIKU WA KUAMKIA LEO MJINI DODOMA




Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya makamuzi ya nguvu usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge, Area D mkoani Dodoma kwenye Usiku wa Diamond Platnumz.



Diamond akiwadatisha mashabiki wake waliofurika kwa ajili ya Usiku wa Diamond Platnumz.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na burudani kutoka kwa Diamond.
...Diamond akisema na mashabiki wake ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge, Area D mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.

Related

DIAMOND PLATINUMZ 4656893076419203590

Post a Comment

emo-but-icon

item