TANZIA: MAMA MZAZI WA IGP MSTAAFU SAID MWEMA, AFARIKI DUNIA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/tanzia-mama-mzazi-wa-igp-mstaafu-said.html
MKUU
wa Jeshi la Polisi mstaafu, IGP Said Mwema pamoja na ukoo wa Mwema na
Nkya unasikitika kutangaza kifo cha mama/dada yao mpendwa Bi Sophia
Rajab Nkya kilichotokea jana 3/10/2014 saa 2.45 usiku ktk hospitali ya
KCMC Moshi.Mazishi yatafanyika leo 4/10/2014 saa 10 alasiri ktk makaburi ya Moshi Mjini.Habari ziwafikie ndugu,jamaa na marafiki waliopo ndani na nje ya nchi.Saidi Mwema.