Flatnews

Picha: Serengeti Fiesta 2014 Singida Ni Shidaaaah

Wakazi wa mkoa wa Singida usiku wa kuamkia leo wamepata burudani ya kutosha ya Serengeti Fiesta ambapo zaidi ya wasanii 15 walitumbui...



Wakazi wa mkoa wa Singida usiku wa kuamkia leo wamepata burudani ya kutosha ya Serengeti Fiesta ambapo zaidi ya wasanii 15 walitumbuiza.
Full shangwe Singida

Full shangwe Singida
Show hiyo iliyofanyika katika katika uwanja wa Namfua ilihudhuriwa na wakazi wa Singida na vitongoji vyake huku Nay wa Mitego, Mr Blue, Dully Sykes, Makomando, Linah, Recho, Mwana FA, Nick wa Pili, Jambo Squad, Mo Music, Barakah Da Prince, Edo Booy, G Lack, Stamina pamoja na Young Killer walitoa burudani ya kutosha.

Adam Mchomvu alipata wakusambaza nae upendo
Adam Mchomvu alipata wakusambaza naye upendo

Barakah
Barakah
Dj Fetty na Adam Mchomvu
Dj Fetty na Adam Mchomvu
Dully akiimba na wakazi wa Singida
Dully akiimba na wakazi wa Singida
Edo Booy
Edo Booy
Full raha Singida
Full raha Singida
Ice Boy
Ice Boy

Jambo Squad wakionyesha uwezo wao

Jambo Squad wakionyesha uwezo wao

Linah akiwa na team yake
Linah akiwa na team yake
Linah na Mwana FA
Linah na Mwana FA
Linah
Linah

Lugha Kali

Lugha Kali

Member wa kundi la Jambo Squad
Member wa kundi la Jambo Squad
Mo Music
Mo Music
Mr Blue akifanya yake
Mr Blue akifanya yake

Mtangazaji wa clouds TV Lugha khali

Mtangazaji wa Clouds TV Lugha Khali

Mwana FA
Mwana FA

Nay wa Mitego

Nay wa Mitego
Nikki wa Pili akifanya yake

Nick wa Pili akifanya yake

Recho akiwa dance wake
Recho akiwa dancers wake
Recho
Recho
Stamina na Nay wa Mitego
Stamina na Nay wa Mitego
Stamina
Stamina

Utaipenda tu!

Utaipenda tu!
Wadau wa Singida wakifurahia burudani

Wadau wa Singida wakifurahia burudani

Wadau wakipata burudani
Wadau wakipata burudani
Wasanii pamoja na wadau fiesta walipanda jukwaani na kucheza kwa pamoja
Wasanii pamoja na wapenzi wa Fiesta walipanda jukwaani na kucheza kwa pamoja
Y Tonny akiwa na mwenzake
Y Tony akiwa na mwenzake

Young Killer Msodoki

Young Killer Msodoki
Picha na Bongo5

Post a Comment

emo-but-icon

item