MKUTANO WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO-CHADEMA IRINGA MJINI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/mkutano-wa-chama-cha-demokrasia-na.html
Wazungumzaji
wakuu kutoka kulia ni Prof Safari-Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa,
Salim Mwalimu-Naibu katibu mkuu CHADEMA-Zanzibar(Kulia) na Dr Wilbroad
Slaa-Katibu mkuu CHADEMA Taifa (Katikati), Mch Peter Msigwa-Mbunge wa
Jimbo la Iringa mjini na Patrick Ole Sosopi-Makamu Mwenyekiti BAVICHA.

Hawa ni wananchi wa manispaa ya Iringa waliojitokeza kwenye mkutano huo

Picha na Mathias Canal

