MISS TANZANIA MPYA 2014 KUNANI ? WATU WADAI MSHINDI ALISHAPANGWA SIKU NYINGI ..UKWELI UPO WAPI?
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/miss-tanzania-mpya-2014-kunani-watu.html

Usiku
wa Jana Pale mlimani City Palikuwa na Fainali za Mashindano ya Miss
Tanzania 2014 na Taji likachukuliwa na Mrembo Sitti Mtemvu …
Leo
Asubuhi Mitandoni zimejaa Habari Kuwa Miss huyo Kapendelewa na pia
Hafai kutwaa Taji hilo na wengi wakilalamika ilikuwa imepangwa kwa kuwa
baba yake ni mbunge…
Jamani Embu Tujuzeni kwa wanao jua ..maaana huko Insta ni Shida balaaaa…
Kwa Mfano Martin Kadinda Kaandika Hivi Instagram:
Daaaaah… kufanya mazuri Zaidi Ya waliopita ila Kwangu wewe hapana….Anko
Ludenga nakukubali Sana ila Kwa hili am not ur side!! sitti am not
hating but Kwa upande wangu hapana.. I just wish u all the best Kwa
majukumu yako And ukatuwakilishi vizuri maybe unaweza Ukimind poa ila sio wote huwa tunakubaliana na matokeo…. Matusi noo Kwa my page.. Ukitukana nakublock” 

