MAPACHA WALIOFANIKIWA KUVUNJA NDOA YA RAPPER WIZ KHALIFA NA AMBAR ROSE HAWA HAPA
Jas pamoja na Ness ambao ni mapacha waliweza kuteketeza ndoa ya Rapper Wiz khlaifa pamoja na reality star Amber Rose ambapo mtanda...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/mapacha-waliofanikiwa-kuvunja-ndoa-ya.html
 |
| Jas
pamoja na Ness ambao ni mapacha waliweza kuteketeza ndoa ya Rapper Wiz
khlaifa pamoja na reality star Amber Rose ambapo mtandao wa TMZ
uliripoti kwa Amber alidai mapacha hao wanatoka
na mumewe na yeye Amber kuomba Talaka kwa mumewe sasa nimekukusanyia
baadhi ya picha za hawa watoto wa kike wazuri waliofanikiwa kumteka
rapper Wiz khalifa.... |