MABASI YAGONGANA IRINGA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/mabasi-yagongana-iringa.html

Muonekano wa basi la Florida baada ya ajali hiyo kutokea.

Basi la Kimotco likiwa pembezoni mwa barabara baada ya ajali hiyo.

Abiria waliokuwa wakisafiri katika mabasi ya Kimotco na Florida leo
asubuhi walinusurika baada mabasi hayo kugongana uso kwa uso katika
barabara ya Iringa-Dodoma leo saa moja na nusu asubuhi. Basi la Kimotco
husafiri kati ya Iringa na Arusha na lina namba za usajili T449 CAL
wakati Florida husafiri kati ya Migoli na Iringa na lina namba za
usajili T571 BDX.
Kwa mujibu wa mashuhuda, ajali hiyo ilisababishwa na kona katika eneo husika na mwedo kasi wa mabasi yote mawili.
Source Global whatsapp
