LULU AFUNGUKA UKARIBU WAKE NA MARTIN KADINDA
MTOTO mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefafanua ukaribu wake na Martin Kadinda kwa kudai ni rafiki yake wa karibu na haku...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/lulu-afunguka-ukaribu-wake-na-martin.html
MTOTO
mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefafanua ukaribu wake na
Martin Kadinda kwa kudai ni rafiki yake wa karibu na hakuna cha ziada.
Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na Martin Kadinda.
Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na Martin Kadinda.
Akipiga
stori na paparazi wetu, Lulu alisema yeye na Kadinda ni marafiki wa
kweli na amekuwa akiinjoi maisha yao kwa kushauriana masuala mbalimbali
ya kimaisha tofauti na wengine wanavyojiongeza.
Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
“Kadinda ni mtu wangu wa nguvu hakuna kingine zaidi ya urafiki wa kawaida, manenomaneno ni kawaida kwa wanadamu,” alisema Lulu.