KURINGARINGA KUNAVYOWAPONZA MABINTI.!!
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/kuringaringa-kunavyowaponza-mabinti.html
Kuringa kwa wasichana wa kibongo ni athari za malezi. Ulaya mtoto wa
kike na kiume wanakua pamoja.. wanahug, wanakiss, wananasex but
responsibly.. coz wanafundishwa elimu ya afya ya uzazi mapema. Hapa
kwetu binti akiwa na miaka 13 anaambiwa……, ‘Usicheze na wavulana ni
mashetani wakubwa, na ole wako tukukute na wavulana, utahama hapa
nyumbani’ Hapa binti
anaanza
kuwaona wavulana km viumbe hatari sn.! Akiwa na miaka 20 wazazi
wanamuambia ‘Kwa kweli Sisi wazazi wako hatumpendi yule mvulana
unaefuatana nae’ binti anazidi kujiweka mbali na wanaume.. hapa ndo
anaringa balaa. Akiwa na miaka 25 wazazi wanaanza ‘Vipi mama? Kimya,
hujatuletea mwenzio yoyote kututambulisha’ hapa ndo binti akifuatwa
anadengua kidogo kumbe anataka. Akiwa na miaka 28 wazazi wanakuja juu
'Wewe vipi wenzio wote wameolewa.. unasubiri nini’ hapa ndo kile kibinti
kilichokua kinakuringia kinaanza kukutumia vitext vya kipuuzi.. mara
mambo, mara nimekumiss.. umenimisd my foot?? Akiwa na miaka 30 wazazi
wanasema 'Tumeshakuonya acha kuchagua wanaume.. we vipi?’ binti
anapanick.. anatamani kuolewa lakini alisharingaringa sana. Akiwa na
miaka 33 wazazi wanamuita kwa mazungumzo ‘Kuna mzee mmoja kule
Sumbawanga tumesikia anaweza kuondoa nuksi, twende tukupeleke’ binti
anaanza kuwaza kuvuta mume kwa tunguri wakati wakati aliringa mwenyewe.
Akiwa na miaka 38 wazazi wanamuita tena "Kuna Mchungaji Mabibo wanasema
ukifunga wiki tu unafunguliwa’ Binti anafunga na kuomba mara kubadilisha
makanisa lakini hafanikiwi. Akiwa na miaka 40 wazazi wanamuambia "kuna
mzee mmoja kafiwa na mkewe anatafuta mke wa kumpunguzia mawazo..
unaonaje tukupe namba zake? Hata huyo ni sawa tu.. usichague sana..
tufariji wazee wako tuone japo kajukuu’ NB: GIRLS PLZ BE CARE.. KURINGA
RINGA NI HATARI KWA MAISHA YAKO BOFYA HAPA KWA STORI KAMILI
