JESHI LAANZA KUMCHUNGUZA DIAMOND BAADA YA KUPANDA STEJINI NA NGUO ZA JESHI, HIKI NDO KILICHOSEMWA NA KIONGOZI HUYU WA JESHI.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/jeshi-laanza-kumchunguza-diamond-baada.html
Kwa
mujibu wa gazeti la mtanzania la leo limeandika habari inayodai kuwa
msanii Diamond Platnumz anachunguzwa Na jeshi la wananchi Tanzania JWTZ
Kwa madai kuwa eti alitumbuiza Na magwanda ya jeshi kwenye Tamasha la
Serengeti Fiesta lililofanyika jumamosi iliyopita katika viwanja vya
Leaders Club,
gazeti hilo limezungumza Na Msemaji Wa Jeshi hill Meja Joseph Masanja
ambaye alikiri kuanza Kwa uchunguzi Wa kina Kwa Diamond Chege Na Nay Wa
Mitego,
Kambi ya Diamond:
Wao wanadai mavazi yanayofanana na magwanda ya jeshi yaliyovaliwa usiku wa fiesta yana Baraka zote kutoka mamlaka husika.