Arsenal Kumnasa Sami Khedira Mwakani.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/arsenal-kumnasa-sami-khedira-mwakani.html

Manager Arsene Wenger amekuwa akimfukuzia kiungo huyu wa Real Madrid mwenye miaka 27 kwa miezi kadha sasa na huu ndio muda wa kukamilisha dili lao.
Khedira
yupo kwenye mwaka wa mwisho wa mkataba wake na Real Madrid inataka £15
milioni kabla mkataba wake haujaisha akachukuliwa bila malipo.