HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI CHA KUCHANGIA MFUKO WA BONNAH EDUCATION TRUST FUND YAFANA JIJINI DAR
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/hafla-ya-chakula-cha-jioni-cha.html
Mgeni
Rasmi katika hafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah
Education Trust Fund,Mwenyekiti wa CCM Mkoawa Dar es Salaam,Ndg.
Ramadhan Madabida akitoa hotuba yake kabla ya kuanza kuendesha harambee
hiyo,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar
es Salaam.Zaidi ya sh. Milioni 100 zilipatikana katika harambee hiyo.
Mwenyekiti
Mwanzilishi wa Bonnah Education Trust Fund,Bonnah Kaluwa akitoa hotuba
yake kwa wageni wa mbali mbali (hawapo pichani) waliohudhulia hafla ya
Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust
Fund,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar
es Salaam.Zaidi ya sh. Milioni 100 zilipatikana katika harambee
hiyo.Picha zote na Othman Michuzi.
Katibu
wa Bonnah Education Trust Fund,Mary Muwasa akizungumza machache ikiwa ni
pamoja kuwatambulisha wadhamini mbali mbali waliojitolea ili
kufanikisha harambee hiyo,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli
ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi katika hafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa
Bonnah Education Trust Fund,Mwenyekiti wa CCM Mkoawa Dar es Salaam,Ndg. BRamadhan Madabida (kushoto) akipokea mfano wa hundi ya Dola za Marekani Elfu 8 kutoka kwa Mwenyekiti wa GCUT Group Tanzania,Lucy Jeremiar Gilya.Katikati ni Mwenyekiti Mwanzilishi wa Bonnah Education Trust Fund,Bonnah Kaluwa.

Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Ndg.
Ramadhan Madabida akipokea mfano wa hundi ya Dola za Marekani Elfu 15 kutoka kwa Meneja wa Miles Networks International nchini Tanzania,Diana Paul (kulia).Katikati ni Mwenyekiti Mwanzilishi wa Bonnah Education Trust Fund,Bonnah Kaluwa.

Ramadhan Madabida akipokea mfano wa hundi ya Sh. Mil. 4.4
kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Kampuni ya Resolution Insurance,Angela Tungaraza (kulia).Katikati ni Mwenyekiti Mwanzilishi wa Bonnah Education Trust Fund,Bonnah Kaluwa.

Ramadhan Madabida akipokea mfano wa hundi ya Sh. Mil. 9.8
kutoka kwa Meneja Uajiri wa Kampuni ya Aramex Tanzania,Jane Stella Njagi (kulia).Katikati ni Mwenyekiti Mwanzilishi wa Bonnah Education Trust Fund,Bonnah Kaluwa.

Ramadhan Madabida akiendelea kutoa hotuba yake.
Ramadhan Madabida akiendelea kutoa hotuba yake.
Meza Kuu.
Mshehereshaji katika hafla hiyo,alikuwa si mwingine bali Mdau Ephrahim Kibonde.
Baadhi ya
wageni waliohudhulia hafla ya ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko
wa Bonnah Education Trust Fund wakifatilia kwa makini harambee
hiyo,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar
es Salaam.