Ciara adaiwa kumrudishia Future pete ya uchumba yenye thamani ya sh milioni 800
Baada ya uchumba wa Ciara na rapper Future kuvunjika, PAGE SIX imeripoti kuwa mwimbaji huyo wa R&B amemrudishia Future pete ya u...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/ciara-adaiwa-kumrudishia-future-pete-ya.html
Baada
ya uchumba wa Ciara na rapper Future kuvunjika, PAGE SIX imeripoti kuwa
mwimbaji huyo wa R&B amemrudishia Future pete ya uchumba
aliyomvisha.
Vyanzo
vya karibu vimesema kuwa Ciara hana mpango wa kurudiana na Future, na
hiyo ndio sababu ya kuamua kumrudishia pete hiyo yenye thamani ya dola
laki 5, ambayo ni sawa na zaidi ya shilingi milioni 800.
“Friends
of Ciara, who’s working on another album, tell us she’s “definitely not
getting back together” with the rapper, and is focused on being a mom
to their son, Future Jr.”
Future
alimchumbia Ciara October 2013 na uchumba wao ulivunjika August 2014
ikiwa ni miezi mitatu toka wapate mtoto. Japo kuna ripoti zingine
zilizotoka kabla ya hizi za sasa zilizodai kuwa, wawili hao wameamua
kumaliza tofauti zao na kuanza kuishi pamoja tena ili kumpa malezi bora
mtoto wao Future Zahir Wilburn.