SERIKALI YAWATAKA VIJANA KUCHAPA KAZI KWA BIDII
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akitoa hotuba wakati wa kufunga Kam...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/serikali-yawataka-vijana-kuchapa-kazi.html
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel akitoa hotuba wakati wa kufunga Kambi ya Kimataifa
ya Vijana International Youth Fellowship (IYF) katika Ukumbi wa Milimani City leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel (kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kama waziri mwenye dhamana ya
kusimamia masuala ya Vijana kutoka kwa Meneja wa IYF kanda ya
Chungcheong China Bw. Jung Soo Park wakati wa kufunga Kambi ya Kimataifa
ya Vijana katika Ukumbi wa Milimani City leo Jijini Dar es Salaam 

Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel (kulia) akizungumza na Makamu Mwenyekiti kutoka
kampuni ya Acona .Bw. David K.S. Kim wakati wa kufunga Kambi ya
Kimataifa ya Vijana katika Ukumbi wa Milimani City leo Jijini Dar es
Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel (watatu kulia) akipeana mikono na Makamu Mwenyekiti
kutoka kampuni ya Acona Bw. David K.S. Kim baada ya mazungumzo wakati
wa kufunga Kambi ya Kimataifa ya Vijana katika Ukumbi wa Milimani City
leo Jijini Dar es Salaam. Wakwanza kulia ni Mwenyekiti wa IYF Tanzania
Dr. Kansolele Ntevi, na wapili kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya
Vijana Dr. Kisui S. Kisui, wakwanza kushoto ni Makamu wa Rais kutoka
kampuni ya Acon Bw. Wan Gi. Kim na anayefuatia ni Rais wa kampuni ya
Uhandisi na Ujenzi kutoka Korea Bw. KI TAE, KIM.
Baadhi
ya Vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania na nje ya nchi
wakifuatilia kwa makini matukio yaliyokua yakiendelea wakati wa kufunga
Kambi ya Kimataifa ya Vijana katika Ukumbi wa Milimani City leo Jijini
Dar es Salaam.
Vijana
kutoka Graciosas Kwaya kutoka Korea wakitoa burudani wakati wa kufunga
Kambi ya Kimataifa ya Vijana katika Ukumbi wa Milimani City leo Jijini
Dar es Salaam.
Picha zote na Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalini – WHVUM
chanzo:full shagwe



\