RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MALAWI PROFESA PETER MUTHARIKA JIJINI WASHINGTON DC, MAREKANI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/rais-kikwete-akutana-na-rais-wa-malawi.html
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Malawi Profesa Peter
Mutharika aliyemtembelea kumjulia hali kwenye hoteli ya Ritz Carlton
katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC, Marekani, ambapo
wote walikuwa wamefikia. Rais Kikwete na Rais Mutrharika, ambao walikuwa
miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano wa
Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais
Barack Obama wa Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo
pamoja na mambo mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri na ya
muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.

Rais wa
Malawi Profesa Peter Mutharika akisalimiana na Mama Salma Kikwete
alipomtembelea kumjulia hali Rais Kikwetev kwenye hoteli ya Ritz Carlton
katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC, Marekani, ambamo
wote walikuwa wamefikia. Rais Kikwete na Rais Mutrharika, ambao
walikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano
wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais
Barack Obama wa Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo
pamoja na mambo mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri na ya
muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika
wakimsikiliza Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe
Bernard Membe kwenye hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha George
Town jijini Washington DC, Marekani, ambamo marais hao walikuwa
wamefikia. Rais Kikwete na Rais Mutrharika, ambao walikuwa miongoni mwa
viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa
Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa
Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo pamoja na mambo
mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri na ya muda mrefu baina
ya nchi hizo mbili.

Rais wa
Malawi Profesa Peter Mutharika akiomngea na Waziri wa mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe kwenye hoteli ya Ritz Carlton
katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC, Marekani,
alipomtembela kumjulia hali Rais Kikwete. Viongozi hao walikuwa miongoni
mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa
Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama
wa Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo pamoja na
mambo mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri na ya muda mrefu
baina ya nchi hizo mbili.

Mke wa
rais Mama Salma Kikwete akisalimiana kwa furaha na mke wa Rais wa Malawi
Mama Getrude Mutharika walipokutana kwenye hoteli ya Ritz Carlton
katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC, Marekani. Rais
Kikwete na Rais Mutharika, ambao walikuwa miongoni mwa viongozi wa
Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara
la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa Marekani,
walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo pamoja na mambo mengine
walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri na ya muda mrefu baina ya nchi
hizo mbili.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika na wake
zao, Mama Salma Kikwete na Mama Getrude Mutharika, wakiongea kwa furaha
walipokutana kwenye hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha George
Town jijini Washington DC, Marekani. Rais Kikwete na Rais Mutharika,
ambao walikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria
Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti
wa Rais Barack Obama wa Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo
rasmi, ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia kudumisha mahusiano
mazuri na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.
PICHA NA IKULU
PICHA NA IKULU
