NUH MZIWANDA AACHANA NA SHILOLE;
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/nuh-mziwanda-aachana-na-shilole.html
Nuh
Mziwanda kujichora tatoo yenye jina la Shilole ilisambaa sana na wengi
walikua wakijiuliza siku ikitokea wameachana itakuaje hasa upande wa Nuh
ambaye ndiye aliyejichora tatoo hiyo.
Maelezo
ya Nuh Mziwanda yamedai kuwa sababu zilizosababisha waachane ni msg
ambayo aliikuta kwenye simu ya Shilole ambayo inasemekana ilitumwa na
mwanaume,Nuh alipomwambia Shilole apige alionekana kunikanyanga.
Nuh Mziwanda kaongea na Soudy Brown kwenye You heard na kazungumza mambo mengi ambayo yametokea kwenye uhusiano wao.

