Suman Khatun,mtoto wa kihindi mwenye miaka tisa(9) akiwa na kilo 14st
5lbs (203lbs) akiwa na zaidi ya maara 5 ya kilo anazotakiwa kuwa
nazo.Mtoto huyu hula kilo 14 za wali,ndizi 180,kilo 8 za samaki,na viazi
kilo 8 kwa wiki.
Wazazi wake walia na waganga ili kumpunguza kilo zake.