MH.PINDA AFUNGUA MASHINDA YA MIFUGO DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mapishi ya pilau la kuku ya Mama Irene mamuya (kulia) wa Chako ni Chako Dodoma katika ma...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/mhpinda-afungua-mashinda-ya-mifugo.html
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mapishi ya pilau la kuku ya Mama Irene
mamuya (kulia) wa Chako ni Chako Dodoma katika maonyesho ya wakulima
Nanenane yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nzuguni Dodoma Auguast 6, 2014.
(Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
Ngombe
mwenye kilo 1000 kutoka Mafinga Iringa akipita mbele ya mgeni rasmi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika mashindano ya mifugo yaliyofunguliwa
na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Nzuguni wa Nanenane mjini Dodoma
August 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
Ngombe
wakiwa wamejipanga katika maonyesho ya mifugo yaliyofunguliwa na Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa Nanenane wa Nzuguni uliopo Dodoma
August 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus
Kamani kukagua banda la Wizarahiyo katika monyesho ya Wakulima
Nanenane kwenye uwanja wa Nzuguni Dodoma August 6, 2014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)



