HII NDO KUFURU YA BILIONEA MAARUFU HAPA AFRIKA ALIYO FANYA KATIKA GRADUATION YA MTOTO WAKE HUKO UINGEREZA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/hii-ndo-kufuru-ya-bilionea-maarufu-hapa.html
Bilionare
maarfu kutoka hapa Africa ajulikanaye kwa jina la Femi Otedola kutoka
Nigeria amefanya kufuru kwenye graduation ya mwanaye ajulikanaye kama Dj
Cupppy ambapo Thamani ya pesa aliyotumia ni sawa na kiasi cha kuwasomesha
watoto watano kutoka Kindergarten mpaka Elimu ya chuo kikuu sasa kama
hii ni graduation Ndoa yake itakuwaje,Binti huyu alikuwa akisoma chuo
cha Kings’ College kule London ambapo ameachia album yake mpya ijulikanayo kwa jina la House of Cuppy picha zingine hizi hapa































