David Luiz aanza mazoezi PSG kwa mara ya kwanza baada ya Kombe la Dunia
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/david-luiz-aanza-mazoezi-psg-kwa-mara.html
Makazi mapya: David Luiz akiwa katika uwanja wa mazoezi wa PSG
David
Luiz alitembezwa na kuonesha sehemu mbalimbali na vifaa vya mazoezi
katika klabu yake mpya ya PSG jana Jumanne ambapo alikutana na wachezaji
wenza wa timu taifa.
Mlinzi
huyo wa kimataifa wa Brazil alinunuliwa na miamba ya soka ya Ufaransa
kwa uhamisho ulioweka rekodi ya paundi 50m kutoka Chelsea kabla ya Kombe
la Dunia.
Alifanya mazoezi na wachezaji wenza wa timu ya taifa Thiago Silva, Maxwell na Lucas Moura

