WAHOLANZI BADO WANAHANGAIKA KUIGIZA BAO LA KICHWA LA VAN PERSIE,
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/waholanzi-bado-wanahangaika-kuigiza-bao.html
Shabiki wa Uholanzi akiwa amevalia jezi yake ya rangi ya machungwa akiigiza namna Van Persie alivyofunga bao la kichwaWAKATI
Robin van Persie anafunga bao bora la kichwa katika ushindi mkubwa wa
mabao 5-1 dhidi ya mabingwa watetezi wa kombe la dunia, Hispani, hakujua
kama amefanya kitu cha ajabu katika mashindano hayo.
Bao hilo la kichwa limekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii hususani Twita.
Mashabiki
wengi wa Uholanzi wakiwa katika bustani zao kwa mapumziko, wanaigiza
namna mshambuliaji huyo wa Manchester United alivyopaa juu na kupiga
kichwa na kufunga bao la bora zaidi mpaka sasa..

The flying Dutchman: Van Persie aliifungia Uholanzi bao la kusawazisha
Van Persie akikimbia kumfuata kocha wa Manchester United, Van Gaal ili washangilie bao hilo.
Kula tano: Van Gaal na Van Persie wakishangilia bao pamoja na wanatarajia kukutana Old Trafford baada ya kombe la dunia.




