TAARIFA YA MEYA WA ILALA JERY SILAA KUHUSU AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK KUWA HACKED
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/taarifa-ya-meya-wa-ilala-jery-silaa.html
Napenda
kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya facebook
ime-hackiwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka waingie
kwenye link kwani nina maongezi ya siri.
Tafadhali puuzia ujumbe huo kwani utasababisha akaunti yako nayo ku-hackiwa.
Tafadhali sambaza ujumbe huu, wakati tunaendelea kujaribu kuiokoa. Nawaomba radhi wote mliopatwa na usumbufu huu.
Jerry Silaa
