RAY C sasa kuja na taarab, ampa tahadhari Khadija Kopa…
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/ray-c-sasa-kuja-na-taarab-ampa.html

Msanii
wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefunguka kwa kudai kuwa ujio
wake mpya kwenye muziki atakuja pia na nyimbo za taarab, huku akimtaka
Khadija Kopa ajiandae.
Akizungumza
na Sporah Show hivi karibuni, Ray C amesema kwenye albam yake ambayo
inakuja hivi karibuni kunamchanyiko wa nyimbo mbalimbali zikiwemo taarab
na zakihindi.
“Nimefanya
taarab kama mbili na zook, yani nimebadilishika kabisa, kuna kwaito ,
kuna bongoflave ,uwindi hindi kidogo, taarab nimeimba pia ,kwaiyo
Khadija Kopa ajiandae”Alisema Ray C.