RAIS KIKWETE ATEMBELEWA NA VIONGOZI WA CCM WA LUDEWA LEO IKULU DAR ES SALAAM
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/rais-kikwete-atembelewa-na-viongozi-wa.html
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa katika
picha ya pamoja na wajumbe 92 kutoka jimbo la Ludewa mkoani
Njombe ambao ni wenyeviti kata na makatibu kata wa CCM kutoka
kata zote 25 za jimbo la Ludewa na viongozi wa wilaya wa chama
hicho ambao leo Juni 16, 2014 wanahitimisha ziara ya siku nne ya
mafunzo mjini Dodoma na Dar es Salaam. Wajumbe hao pamoja na Mbunge wa
jimbo la Ludewa Mhe Deo Filikunjombe walifika Ikulu kumtembelea Rais.
(Picha na Ikulu)