RAIS KIKWETE AKIWA NA WASANII UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA JIONI YA LEO
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/rais-kikwete-akiwa-na-wasanii-uwanja-wa.html
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya wasanii walioshiriki
katika tamasha la Uzalendi na uzinduzi wa Video ya wimbo Maalum wa Miaka
50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa
Jamhuri mjini dodoma leo jion