MTABIRI: VIFO VYA WASANII KUENDELEA MPAKA APRIL MWAKANI! AHUSISHA RANGI NA MITOKO YA USIKU
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/mtabiri-vifo-vya-wasanii-kuendelea.html
Maalim Hassan ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mnajibu Afrika na kwingineko duniani, marehemu Shehe Yahya Hussein alisema:
Alipoulizwa nini cha kufanya, Maalim Hassan aliendelea:
Mbali na Mungu, Maalim alikwenda mbele zaidi:
Alisema
kuwa suala la vifo vya wasanii si kwa Tanzania tu kwani hivi karibuni
tasnia ya filamu duniani imekuwa ikiondokewa na wasanii kibao kuanzia
Hollywood (Marekani),
Nollywood
(Nigeria), Bollywood (India) na hata nchini Kenya mwigizaji aliyeigiza
kama Idd Amin kwenye simema ya Rise and Fall of Idd Amin amefariki dunia
hivi karibuni hivyo ndiyo hali halisi kwa kipindi hiki hadi Aprili,
mwakani.
Mbali
na Tyson anga la bururudani Bongo liliwapoteza wasanii wengine kama
Shaila Haule ‘Recho’ Adam Philip Kuambiana na Amina Ngaluma.