MAMBO 5 AMBAYO HUYAJUI KUHUSU GEORGE TYSON
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/mambo-5-ambayo-huyajui-kuhusu-george.html

Jana
usiku habari zilizoshtua watu wengi ni kuhusu kifo cha director
mashuhuri George Tyson. Hivi sasa kuna taarifa ambazo hazijawahi
kutolewa na hawa wahusika kuhusu marehemu Tyson.
Zipo tano hadi sasa na zinatoka kwa watu mashuhuri kwenye kiwanda cha burudani

Jokate Mwegelo amesema kuhusu kazi nzuri aliyokuwa anafanya George Tyson kama director wa The One show ambayo inaruka kupitia TV1

Venessa
Mdee hajawai kusema sababu ya kuacha kufanya The One show ambayo
alianza hadi ku-shoot. Hivi sasa amesema sababu hiyo akimhusisha George
Tyson kama mtu aliyempa moyo kwenye maamuzi yake.

Hemed
PHD na yeye anasema kwamba George Tyson ndiye mtu ambaye aligundua
kipaji chake cha kuigiza wakati akiwa kwenye Tusker Project Fame.

Kazi
kubwa ya George Tyson ilikuwa ni ku-direct vipindi vya TV kama
unavyoona hapo chini na juu ambapo AY anamzungumzia baada ya kufanya
show ya Boys Boys. Pia Mboni Masimba anamtaja kama director wa show
yake.
