MAMA KANUMBA AMCHIMBA MKWARA MDOGO WAKE KANUMBA
MA wa Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amemchimba mkwara mzito mdogo wa marehe...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/mama-kanumba-amchimba-mkwara-mdogo-wake.html
MA wa
Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amemchimba mkwara mzito mdogo wa
marehemu, Seth Bosco baada ya kuona amefanya kosa na kuamua kumtishia
kuwa atamfuta kwenye Kampuni ya Kanumba The Great.
alishindwa kulivumilia hivyo kumuonya
kuwa atamuondoa kwenye kampuni.“Ni juzi tu amefika nyumbani kwangu
kuniomba msamaha nimemsamehe kama mtoto ingawa kwenye kampuni
hatashiriki kwa sasa kwani ameanza kazi zake nyingine,” alisema.