MAAJABU YA KIPA WA MEXICO HAYA HAPA...JAMAA NI MKALI MPAKA `SIO VIZUR`I!
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/maajabu-ya-kipa-wa-mexico-haya.html
Fundi wa kuokoa: Mlinda mlango wa
Mexico, Guillermo Ochoa akiokoa shuti la hatari, huku David Luiz
(kushoto) na Paulinho wakisubiri
Neymar akiruka juu ya Rafael Marquez na kupiga mpira golini, lakini aliambulia patupu.
Akiokoa siku isinune: Kipa waMexico, Guillermo Ochoa akiokoa mchomo wa hatari, nusu iwe goli.