MAAJABU, JAMAA AFARIKI NA KUZIKWA NA SASA AMEJITOKEZA TENA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/maajabu-jamaa-afariki-na-kuzikwa-na.html
Unaweza
kudhani labda ni simulizi za kusisimua ambazo pengine huwa nyingi
zinaishia kuandikwa tu kwenye majarida na makala mbalimbali lakini hii
ni tofauti mtu wangu,unaambiwa huyu jamaa alifariki na ndugu zake
wakaenda kuuchukua mwili wake kisha kuuzika kwa heshima zote.
Sasa
inshu imekuja jamaa amerudi na tatizo limekua hakuna anayemuamini hadi
mke wake kamkimbia na kaburi lake lipo kinachoshangaza ni mpaka hitma
wameshakamilisha,kaenda live studio sasa msikilize kupitia Hekaheka ya
leo June 19.