LULU, NANDO WA BBA MAMBO HADHARANI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/lulu-nando-wa-bba-mambo-hadharani.html
Mambo
hadharani! Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael
‘Lulu’ na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando
umewekwa kweupe.
Kabla
ya wawili hao kufunguka, kulikuwa na madai mazito kuwa Lulu na Nando
‘wanachepuka’ mara tu baada ya Nando kutolewa BBA kwa ukosefu wa
nidhamu.
Kuna habari kuwa Nando ndiye aliyevujisha ishu hiyo, jambo ambalo Lulu hakupendezwa nalo hivyo kumpiga chini.

