Kijana
wa miaka 29 mwenye raia wa Ufiilipino ambaye pia ni mgonjwa wa kansa
amefunga ndoa akiwa kitandani na mpenzi wake alionyesha upendo wa ajabu
kwa kufunga ndoa hiyo masaa machache kabla mauti hayaja mchukua lakini
masaa 10 baadae mara baada ya ndoa hiyo kufanyika kaka wa kijana huyo
aliripoti juu ya kifo cha ndugu yake huyo na hizi ndizo picha za
ushahidi wa siku hiyo ya harusi yake....