JAMANI KUNA WATU WANAPESA... TAZAMA HII KITCHEN PARTY YA KIHISTORIA... HAPA WATOTO WA KINA BAKHRESA NA MENGI WATASUBIRI SANA MIAKA 800
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/jamani-kuna-watu-wanapesa-tazama-hii.html
SETTING ROOMBONYEZA KITUFE KUONA ZAWADI ZA FAIZA ALIZOPEWA NA FAMILIA YAKE, SOMO NDUGU NA JAMAA TOKA NJE YA NCHI, MAMA MZAA CHEMA AFUTWA JASHO HASWA, WATU WAMWAGA PESA OVER NAIJA..!!!
ZAWADI ZA FAMILIA
BEDROOM SET
DINNING ROOM
DINNING TABLE
FRIDGE
FREEZER
WASHING MACHINE
ZAWADI ZA SOMO
VYOMBO VYA JIKONI
BED SHEET & DUVET
SHELF YA VIATU
ACCESSORIES & MAKEUP SET
NGUO
ZAWADI YA MUZNE
FAIZA AKITUNZWA ZAWADI
SAIDA & NANA WAKIENDA KUMKABIDHI FAIZA ZAWADI ZA FAMILIA
ALIANZA KUPEWA BEDROOM SET
KISHA SITTING ROOM
DINNING SET
FREEZER
WASHING MACHINE
SAIDA AWAACHA WATU NA MSHANGAO ALIMTUNZA MWANAYE, JUMLA YA MASANDUKU 8, SITA YA FAIZA 2 YA JAMLI
MASANDUKU YAKE YALIPANGWA KWA MPANGALIA, ALIANZA NA SANDUKU LA KWANZA CASUAL WEAR
SANDUKU LA PILI, HANDBAG ZA AINA ZOTE
SANDUKU LA VIATU
SANDUKU LA MADISH, NGUO ZA KIHINDI, EVENING DRESS
SANDUKU LA JAMIL
MASHATI, VIKOI N.K.