Flatnews

HIVI NDIVYO WASANII WALIVYO PERFOM KWENYE SHEREHE ZA UGAWAJI WA TUZO ZA BET PICHA ZIKO HAPA.


Wasanii wanaounda kundi la mafikizolo wakifanya yao kwenye stage muda huu nchini marekani kwenye sherehe za ugawaji wa Tuzo za BET

Wasanii wenginekama Tiwa Savage na Sarkodie waliendeleza burudani kwa kuwapagawisha mashabiki fuatilia picha hizi hapa chini




 




Tiwa Savage






















Sarkodie









Post a Comment

emo-but-icon

item