GHANA YAPIGA MPIRA MKUBWA IKITOKA SARE YA 2-2 NA UJERUMANI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/ghana-yapiga-mpira-mkubwa-ikitoka-sare.html
Miroslav Klose amefunga bao lake la 15 akiichezea Ujerumani na kulazimisha sare ya 2-2.
TIMU ya Taifa ya Ghana almanusura iibuke na ushindi dhidi ya Ujerumani, lakini mechi hiyo imemalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Ujerumani wakitoka nyuma wamefanikiwa kuvuna pointi moja mbele ya Ghana walioonekana kucheza vizuri kwa dakika zote 90.
Sarakasi juu! Miroslav Klose akishangilia bao lake.
Haamini: Mlinda mlango wa Ghana , Fatau Dauda akiwa na hasira baada ya Ujeruman kusawazisha na matokeo kuwa 2-2
Mario Goetze (katikati) akiwapita mabeki wawili wa Ghana na kuifungia Ujerumani bao la kuongoza.
Hapa chini ni Vikosi vya timu zote na viwango vyao. Alama ni chini ya 10.
Kikosi cha Ujerumani: Neuer 6; Boateng 6 (Mustafi 45mins 5.4), Mertesacker 6, Hummels 6, Howedes 6; Lahm 7; Khedira 6.5 (Schweinsteiger 69mins 7), Kroos 7; Mueller 6), Ozil 7, Goetze 7 (Klose 69mins 7.5).
Wafungaji wa Magoli : Gotze 51, Klose 71
Kikosi cha GHANA: Dauda 7; Afful 6.5, Mensah 6.5, Asamoah 6, Boye 6; Boateng (J Ayew 51mins 6.5 ), Muntari 6, A Ayew 7.5, Atsu 7 (Wakaso 71mins 6); Rabiu 6 (Badu 77mins 6); Gyan 8
Wafungaji wa magoli: Ayew 54, Gyan 63
Mwamuzi : Sandro Ricci
Kikosi cha GHANA: Dauda 7; Afful 6.5, Mensah 6.5, Asamoah 6, Boye 6; Boateng (J Ayew 51mins 6.5 ), Muntari 6, A Ayew 7.5, Atsu 7 (Wakaso 71mins 6); Rabiu 6 (Badu 77mins 6); Gyan 8
Wafungaji wa magoli: Ayew 54, Gyan 63
Mwamuzi : Sandro Ricci
Ndosi hiyo!: Andre Ayew (kulia)
akiruka juu ya mabeki wa Ujerumani na kupiga mpira wa kichwa uliozama
nyavuni akiisawazishia Ghana
Manuel Neuer akijaribu kuokoa mpira wa kichwa uliopigwa na Andre Ayew, lakini aliambulia manyoya tu!
Asamoah Gyan akipiga shuti kali na kuandika bao la pili dhidi ya Ujeruman.
Asamoah Gyan na wachezaji wenzake wa Ghana wakishangilia bao la kuongoza.