GEORGE TYSON AZIKWA LEO KIJIJINI KWAO SIAYA,NCHINI KENYA.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/george-tyson-azikwa-leo-kijijini-kwao.html
Hapa ndipo mwili wa Marehemu George Tyson ulipozikwa mapema leo
mchana katika kijiji cha Siaya,nchini Kenya.George Tyson ambaye alikuwa
ni mmoja wa Waongozaji filamu mahiri hapa nchini Tanzania,alifarika kwa
ajali ya gari wakati akitokea mkoani Dodoma kikazi akirejea jijini
Dar.Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi.Amin.

Misa ya mwisho ya kumuombea marehemu George Tyson nyumbani kwao mapema leo mchana katika kijiji cha Siaya,nchini Kenya.

Ndugu na jamaa mbalimbali wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa
Marehemu George Tysombani kwako,katika kijiji cha Siaya nchini Kenya.

Baadhi ya Ndgu na Jamaa mbalimbali wakiwa kwenye maombolezo ya mwisho
ya mazishi ya marehemu George Tyson mapema leo mchana,nyumbani kwao

Misa ya mwisho ya kumuombea marehemu George Tyson nyumbani kwao mapema leo mchana katika kijiji cha Siaya,nchini Kenya.

Mdau Felix akizungumza jambo na kuwashukuru Watanzania wote na
wengineo walioshiriki kwa namna moja ama nyingine katika kuhakikisha
mpendwa wao,ambaye Mwenyezi Mungu kampenda zaida anaenda kuishi kwenye
nyumba yake ya milele.

Watoto wa marehemu George Tyson wakiwa katika picha ya pamoja.

Nyumba ya milele ya marehemu George Tyson kabla ya kulazwa.Picha kwa
hisani kubwa ya Mdau William Mtitu kutoka kijiji cha Siaya,nchini Kenya.
