Baada ya miezi tisa ya kubeba mimba, mwanamke ajifungua mjusi.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/baada-ya-miezi-tisa-ya-kubeba-mimba.html
Mwanamke
mmoja nchini Indonesia amejifungua mjusi badala ya mtoto.Mwanamke huyo
Debi Nubatonis, mwenye umri wa miaka 31, ameanza kupata vitisho kutoka
kwa kundi la vijana kutokana na kitendo hicho wakimtuhumu kwa uchawi
ambapo sasa mamlaka za nchi hiyo zimetuma timu ya wataalamu kwa ajili ya
kumaliza utata wa tukio hilo lisilo la kawaidaWanasayansi katika timu
inayofanya uchunguzi kwa mwanamke huyo wamesema wanahitaji kupatiwa muda
wa kutosha kuchunguza tukio hilo na kuja na maelezo ya kueleweka
Kitendo
hicho cha mwanamke kujifungua mjusi badala ya mtoto kilibainishwa na
mkunga anayedai kwenda nyumbani kwa mwanamama huyo kumsaidia kujifungua
katika kijiji cha Oenunto kwakuwa alishindwa kufika hospitalini
