Flatnews

ANGALIA PICHA KUTOKA MSIBANI KWA MAREHEMU MZEE SMALL TABATA


Mke wa marehemu Mzee Small, Bi. Fatuma Said akiwa na simanzi nzito
  Wasani Jumanne Shabaan 'Made Matata', Mbembe (katikati) na Habib Mrisho 'Sumaku' (kulia) wakijadiliana jambo msibani.
Baadhi ya watoto wa marehemu, aliyesiama Abdul, aliyekaa Abdulahaman na mdogo ni Said wakitafakarii jambo.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani.
Maandalizi ya sehemu ya kukaa.
  Sehemu ya kukaa waombolezaji.
  Moja ya nyumba za Mzee Small

Post a Comment

emo-but-icon

item