Flatnews

URAFIKI WA WEMA NA AUNTY EZEKIEL NI SHIDAA INSTAGRAM



Urafiki kati ya mastaa hawa wawili yaani Wema Sepetu na Aunty Ezekiel umepamba moto hasa baadaya Wema na Kajala kutofautiana...hii inajidhihilisha wazi ukifuatilia TRENDs za wawili hawa kwenye mtandao wa INSTAGRAM


Hivi sasa hali hiyo imejitokeza tena kwa Wema na Aunt Ezekiel haipiti wiki bila ya wawili hao kuweka picha ya pamoja au mmoja kuweka picha ya mwenzake.....SO NICE.

Cheki baadhi ya picha hizo wote wakiwa happy yaan ni SHIDAAAH!!!!!!.....tunawaombea muendelee hivyo hivyo..........hadi uzeeni INSHALAH

Post a Comment

emo-but-icon

item