Flatnews

TAZAMA VIDEO MPYA YA WIMBO WA KOMBE LA DUNIA YA SHAKIRA, MESSI,NEYMAR NA WENGINE NDANI


Screen Shot 2014-05-22 at 6.04.45 PM

Nadhani wote mnakumbuka ule wimbo maalum kwa ajili ya michuano ya kombe la dunia mwaka 2010 wa ‘wakawaka’ ulioimbwa na Shakira ambapo this time kwenye kombe la dunia baada ya ule kufanya vizuri… mwaka huu Shakira amepata shavu jingine la kufanya wimbo wa kombe la dunia litakalofanyika Brazil kuanzia mwezi ujao.

Post a Comment

emo-but-icon

item