http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/skylight-band-wazidi-kuwapa-raha-zisizo.html
Sam Mapenzi akiliazisha Taratibuuuuu ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Vijana wa Skylight kwa Taaratibuuu wakiimba kwa hisiaa kali kuwapa burudani mashabiki wao ndani ya kiwanja cha Thai village.
Anaitwa
Hashim Donode (mzee wa viduku)akiimba kwa Hisia kaliiiii kabisaaa ndani
ya kiwanja cha Thai Village Ijumaaa iliyopita ili kuwapa ile kitu roho
inapenda mashabiki wao.
Toka
kushoto Digna Mbepera akimpa sapoti ya nguvu kijana machachariiiiii
anayejulikana kwa jina la Donode wakati akirusha vocal kaliiiii kwa
hisia ndani ya kiwanja cha Thai Village
Wanaume
wa shoka wa Skylight Band kutoka kushoto ni Daudi Tumba, Joniko Flower,
Sony Masamba, Sam Mapenzi na mpiga gita mahiri Allen Kiso wakitoa
burudani la nguvu ndani ya kiwanja cha Thai Village Ijumaa Iliyopita
Acha
kabisaaaa usipime kwa mziki wetu huuu mzuriii,Hapo ni Aneth Kushaba
mwenye nywele nyekundu akiongoza kikosi chake kutoa burudani za
ukweliiiii ndani ya Thai Village.
Mamaaaaa
weeeeee umeona viuno nyorotiiiiiii ivoooo?sasa hao ni mashabiki wa
Skylight Band wakiyarudi mauno kwa burudani Tamuuuuu zinazotolewa ndani
Ya Thai Village kila Ijumaaaaaa.