PENNY AKANUSHA KUWA NA MPENZI MPYA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/penny-akanusha-kuwa-na-mpenzi-mpya.html
Mwanadada huyo,ambaye alikanusha vikali
tuhuma hizo, kwa madai kuwa baadhi ya watu wamekuwa wakifwatiria maisha
yake kwa kumnyima uhuru kufanya jambo lolote lile.
Amedai kuwa kwa sasa hanampango wa kuwa na mwanaume ingawa muda ukifika ataweka wazi kila kitu, hivyo hataki watu kumfwatiria huku wakimnyima raha
Amedai kuwa kwa sasa hanampango wa kuwa na mwanaume ingawa muda ukifika ataweka wazi kila kitu, hivyo hataki watu kumfwatiria huku wakimnyima raha